Mafunzo Ya Ujasiriamali Pdf 126
CLICK HERE >> https://tinurll.com/2t8io7
Ubaguzi wa ujauzito unahusisha kumtendea mfanyakazi au mwombaji bila haki kwa sababu ya hali ya ujauzito, kujifungua, au hali ya matibabu kuhusiana na ujauzito au kujifungua. Sheria ya Ubaguzi wa Mimba (PDA) inakataza ubaguzi wowote kama inahusiana na ujauzito katika maeneo yoyote yafuatayo: kukodisha, kurusha, fidia, mafunzo, kazi ya kazi, bima, au hali nyingine yoyote ya ajira. Zaidi ya hayo, hali fulani zinazosababishwa na ujauzito zinaweza kulindwa chini ya ADA, ambayo inamaanisha waajiri wanaweza kuhitaji kufanya makao mazuri kwa mfanyakazi yeyote mwenye ulemavu kuhusiana na ujauzito.
Aidha, alitoa rai kwa taasisi nyingine za elimu ya juu na kati na ikiwezekana shule za sekondari kuiga mfano wa chuo hicho wa kuwaandaa wataalamu kuwa mahiri na weledi kwa kutumia mfumo unaohusisha nadharia na vitendo, vilevile kozi zenye moduli ya masuala ya ujasiriamali.
Jumla ya wahitimu 2691 wakiwemo wanawake 1491 na wanaume 1200 wamehitimu mafunzo yao na kutunukiwa Astashahada Stashahada na Shahada ya kwanza kwa wahitimu wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini katika programu 3 kwenye mahafali ya 36 ya Chuo duru ya pili katika Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa Mwanza
Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini na baadhi ya Viongozi wa Chuo, Leo Alhamisi Desemba 15, 2022 wamehitimisha mafunzo ya uongozi yaliyoratibiwa na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute). Mafunzo haya yamefanyika kwa vipindi tofauti kuanzia Mei 26, 2022.
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya alisema Chuo kimeweka kipaumbele katika kuwajengea uwezo watumishi wake katika maeneo mbalimbali ya ubobezi wao ili wapate stadi stahiki katika kuhudumia umma wa watanzania. "Tunaendelea kuwajengea uwezo watumishi wetu katika mafunzo ya muda mfupi na mrefu kwa lengo la kuwa na rasilimali watu mahiri katika kutekeleza majukumu ya ndani ya Chuo na nje" alisema Prof. Mayaya.
Akiwasilisha mkakati huo Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma Prof. Provident Dimoso alisema kwa muda mrefu Chuo kimekuwa na ndoto ya kuwa na kituo cha kuwajengea uwezo wananchi kiuchumi. Ndoto hii ilitimia mwaka 2019 kwa kuanzisha Kituo cha Ujasiriamali na Ubunifu ( Mipango Entrepreneurship and Innovation ) maarufu MEI . Kwa mujibu wa Prof . Dimoso Kituo hiki tangu kuanzishwa kwake kimefanya vizuri katika kulea vipaji vya ubunifu na ujasiriamali kwa wanafunzi wa Chuo cha Mipango. " Mkakati wetu ni kupanua wigo kwa kuwa na programu zinazogusa maisha ya jamii kubwa. Vilevile kuendelea na programu ya kubadilisha mtizamo kwa vijana wetu kuhusu ajira. Msisitizo ni kujiajiri na kuajiri wengine."alisema Prof. Dimoso na kuongeza, "Ujasiriamali ndio ajenda ya sasa, Vyuo vinazalisha wahitimu wengi kila mwaka wakati nafasi za ajira ni chache sana hivyo msisitizo na msukumo uwe mkubwa kwenye masuala ya Ujasiriamali na Ubunifu".
Katika hatua nyingine Wajumbe wa Baraza la Uongozi pamoja na Viongozi wa Juu wa Chuo walipata mafunzo ya uongozi wa rasilimali za umma. Mafunzo haya ya siku moja yalifanyika Alhamisi Agosti 18, 2022 yaliendeshwa na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) mwezeshaji akiwa Bw. Paul Bilabaye ambae ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Tanzania (PSPTB).
Prof. Dimoso ameongeza chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kinatambuliwa na TCU na kina usajili wa Baraza la elimu na mafunzo ya ufundi (NACTEVET), hivyo mwanafunzi anaposoma Shahada katika chuo hicho uzito wake ni sawa na kusoma chuo chochote duniani kwa kuwa ni kizuri,kina ubora na kimejikita kwenye masuala ya mipango.
Serikali ya Marekani kupitia Programu yake ya Academy for Women Entrepreneurs (AWE) kwa kushirikiana na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wajasiliamali ili kukua kiuchumi kwa kuwawezesha kutengeneza Mpango wa biashara zao, jinsi ya kukuza mitaji na kuwaunganisha kimtandao na wafanyabiashara waliofanikiwa.
Akizungumza wakati wa Mahafali ya mafunzo hayo yaliyofanyika Jumatatu tarehe 6, Juni, 2022 Chuoni Mipango. Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabiri Shekimweri aliishukuru Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wao nchini Tanzania kwa kuendesha mafunzo hayo muhimu na kuwashauri wanawake hao kuendelea kuchangamkia fursa zinazojitokeza ili kukuza uchumi wa nchi.
Kwa upande wake Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright aliwapongeza wahitimu hao kwa kumaliza mafunzo hayo, na kuushukuru Uongozi na Menejimenti ya Chuo cha Mipango kwa kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa kuwa mwenyeji wa Mafunzo hayo yaliyoanza tarehe 4 April, 2022 na kuhitimishwa tarehe 6 Juni, 2022. Pia, alisema kuwa Ubalozi wa Marekani umeongeza kiasi cha Dola za Marekani Laki Moja kwaajili ya kuendeleza Programu ya AWE katika Mikoa mingine minne.
Aidha, Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya katika hotuba yake alisema Chuo cha Mipango kupitia Kituo chake cha Ujasiriamali na Ubunifu (MEI) kitaendelea kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhakikisha mafunzo hayo yanaendelea kutolewa Jijini Dodoma na sehemu mbalimbali nchini.
"Chuo cha Mipango kinayo fahari kubwa kuwa mwenyeji wa mafunzo haya , ambapo baadhi ya wahadhiri wetu walishiriki kuwezesha Programu hii kwa kuratibu na kubadilishana uzoefu na washiriki, pia mmoja wa wahadhiri wetu ameshiriki mafunzo haya ya AWE. Hivyo, ni matumaini yetu kuwa ujuzi na maarifa aliyoyapata yatawanufaisha wanafunzi na Wafanyakazi wa Chuo."Alisema Prof. Mayaya.
Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini na Viongozi wengine wa Chuo leo Alhamisi tarehe 26/5/2022 wamepata mafunzo ya siku moja juu ya Akili hisia katika Uongozi ( Emotional Intelligence in Leadership) . 2b1af7f3a8